Ifuatayo ni orodha ya nchi kumi maskini zaidi Duniani.

Orodha hii imeakisi Nchi zenye vita vya wenyewe kwa wenyewe, migogoro ya kikabila na Dini.

Aidha, Uviko-19, mfumuko wa bei unaoongezeka kutokana na vita nchini Ukraine vilifanya hali za Nchi hizo kuwa mbaya zaidi.

10. 🇱🇷Liberia

9. 🇹🇩Chad

8. 🇲🇼Malawi

7. 🇳🇪Niger

6. 🇲🇿Msumbiji

5. 🇨🇩DRC

4. 🇸🇴Somalia

3. 🇨🇫CAR

2. 🇧🇮Burundi

1. 🇸🇸Sudan kusini

 

Naibu Rais afurahia wanawake wengi kushika ujauzito
Young Africans haitaki maskhara Mapinduzi CUP