Ushawishi wa Tanzania Duniani utategemea Ubora Sera Mambo ya Nje inayorekebishwa

Ili Tanzania iweze kufikia malengo ya Maendeleo iliyojiwekea, lazima iwe na Sera Bora ya Mambo ya Nje inayozingatia maoni na matakwa ya makundi yote ya wadau nchini. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Ikulu Zanzibar, Ali Suleiman Ameir ambaye alikuwa Mgeni Rasmi katika Kongamano la wadau la kukusanya maoni kuhusu marekebisho ya … Continue reading Ushawishi wa Tanzania Duniani utategemea Ubora Sera Mambo ya Nje inayorekebishwa