Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amewasili katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam, ambapo hii leo Februari 13, 2024 anawaongoza Viongozi na Wananchi katika kutoa heshima za mwisho kwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Ngoyai Lowassa.

 

Ramaphosa apeleka kikosi kazi kuwakabili M23
Mlipuko wa bomu wauwa watatu, maelfu wakimbia makazi yao