Msaada wa chakula kwa mamia kwa maelfu ya wakimbizi wa Sudan walioko nchini Tchad, ambao baadhi yao wapo kwenye hali ngumu ya kukabiliwa na baa la njaa, utasitishwa mwezi ujao kutokana na ukosefu wa ufadhili.

Shirika la Mpango wa Chakula Duniani – WFP, limesema tangu kuzuka kwa mzozo huo mwaka mmoja uliopita, zaidi ya wakimbizi nusu milioni wa Sudan wamekimbilia Chad kwa kuvuka mpaka mrefu wa jangwa na sasa Nchi hiyo ni moja ya vituo vikuu vya wakimbizi kutoka Afrika.

Young Africans kumshughulisha Mokwena
Mastaa Chelsea kupigwa bei Saudi Arabia