Mtangazaji wa Clouds FM, Gardner G. Habash amefariki dunia hii leo asubuhi Aprili 20, katika Hospitali ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete – JKCI, alikokua amelazwa kwa matibabu.

Gadner maarufu kama ‘Captain’ aliejizolea Umaarufu mkubwa kupitia Kipindi cha Jahazi.

Pumzika kwa amani Captain.

Bil. 183.63 kukamilisha maboma sekta ya Afya, Elimu
Majaliwa: CAG hawezi timiza majukumu yake bila uhuru