Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta yaAnga na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Hee Young Hurr, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea hii leo June 3, 2024.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga cha Korea Dkt. Hee Young Hurr mara baada ya kushiriki kupanda Mti mbele ya Jengo la Utawala la Chuo hicho wakati Rais Samia alipowasili kwa ajili ya kushiriki Hafla ya kutunukiwa Udaktari wa Falsafa ya Heshima katika Sekta ya Anga (Honoris Causa) hii leo Juni 3, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Udaktari wa Falsafa wa Heshima (Honoris Causa) kwenye Sekta ya Anga na Rais wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Anga (Korean Aerospace University) Hee Young Hurr wa kwanza kulia, Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea hii leo June 3, 2024. Wa kwanza kushoto ni Amidi wa Shule Kuu Soo Chang Hwang.

Serikali kuendeleza uboreshaji mazingira ya uvuvi
Miundombinu upokeaji Meli kubwa za Gesi kuongezwa