Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa.Daktaru Samia Suluhu Hassani amesema hayo leo Julai 13,2024 akiwa mkoani Katavi kwenye ziara yake ya kikazi wakati akiwahutubia Wananchi wa mkoa huo

Amesema, “Serikali inaendelea kusimamia uletaji wa maendeleo ya Nchi na watu wake ,Miradi mikubwa ya kimkakati inakwenda kwenye hatua za mwisho isipokua mradi mmoja wa Reli na wenyewe kazi inaendelea na tunatarajia labda kwenye 2027 -2028 tutakua tumekamilisha Reli yote mpaka kuunganisha na Burundi,” Rais Samia.

Aidha ameongeza kua mradai mwingine kama umeme umefikia asimilia 95 na umeme umeanza kuwaka na kuingia kwenye Gridi ya Taifa

Mpaka yote ya Nchi yetu ipo salama - Dkt. Samia
Rais Samia ahudhuria Kilele Wiki ya Wazazi Kitaifa