Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Daktari Samia Suluhu Hassani wakati anawasilisha Taarifa kuhusu Nchi kwa kifupi akiwa Mkoani katavi leo Julai 13,2024 amesema nchi yetu ipo salama na Serikali inaendelea kushirikiana na majirani wote .

Amesema “kwa ufupi Nchi yetu ipo Shwari,Mipaka ya Nchi ipo salama ,Na Kupitia falsafa yetu ya R4 ,Tunashirikiana na majirani zetu wote ,Tumeendelea kusimamia maridhiano,Mageuzi na ujenzi mpya wa Taifa letu hali ya kisiasa ipo shwari wanasiasa wanafanya kazi zao kama inavyotakiwa.”

Rais Dokta Samia suluhu Hassan yupo Mkoani katavi katika ziara yake ya kikazi pamoja na kuzungumza na wananchi wa mkoa huo.

Wazazi wahimizwa usimamizi maadili, malezi ya Watoto
Miradi ya kimkakati yafikia hatua za mwisho