Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Katavi ni Mkoa ambao hauna matukio mengi yakiharifu ingawa una mchanganyiko mkubwa wa watu.

Rais Samia ameyasema hayo hii leo Julai 14, 2024 wakati akihutubia wananachi wa Katavi mbele ya Jeshi la Polisi Mkoa, baada yakuzindua Jengo la ofisi ya Kamanda wa Polisi Mkoani hapo.

Aidha, amewataka wananchi wa Katavi kushirikiana na Jeshi la Polisi, ili kutunza amani na utulivu ndani ya mkoa huo

Serikali kuboresha majengo yote Nchini
Trump ajeruhiwa kwa risasi akihutubia, Biden alaani