Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya, Mtai Wilaya ya Kalambo ikiwa ni sehemu ya Ziara yake Mkoani Rukwa.

Uzinduzi huo, umefanyika hii leo Julai 16, 2024 huku ikikukumbukwa kuwa mwaka 2023 -2024 Rais samia alielekeza TAMISEMI kutoa fedha takribani Bilioni 49.9 ili ziende kujenga na kuimarisha majengo mbalimbali ya Halmashauri.

Makala: Rais Samia anavyowapa somo wabonyeza vitufe
Eng. Cosmas: Tusaidiane kulinda miundombinu ya Umeme