Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzaniq, Dkt.Samia Suluhu Hassan amemtaka Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Shafi Mpenda kulitunze ipasavyo jengo jipya la utawala ambalo amelizindua hii leo Julai 16, 2024.

Jengi hilo la Halmashauri ya Kalambo limegharimu kiasi cha Tsh Bilioni 4.5 ambapo Shilingi Bilioni 107 zimetumika kwa Mkandarasi mshauri na Shilingi Milioni 150 zimetumika kujenga nyumba ya Mkurugenzi.

#ZiarayaRaisSamiaRukwa

#Jumikita

Rukwa: Rais Samia aweka Jiwe la msingi chuo cha VETA
Makala: Rais Samia anavyowapa somo wabonyeza vitufe