Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Julai 16,2024 ameweka Jiwe la Msingi kwenye Majengo 24 ya Chuo Cha VETA Mkoa wa Rukwa kilichopo mtaa wa Kashai Manispaa ya Sumbawanga.

Uwekaji wa jiwe la msingi katika chuo hicho ni mwendelezo wa Ziara ya Dkt. Samia Mkoani humo.

 

Maandamano yaanza upya Kenya, vurugu zatawala
Jengo jipya la Halmashauri: Rais ampa maagizo Mkurugenzi