Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema amepokea malalamiko ya Wakulima wa Mahindi mkoani Rukwa walipohitaji bei ya Mahindi kwa kilo iongezwe na kua aiendani kutokana na tija za uzalishaji shambani na iwe shilingi 700.

Rais samia leo Julai 17, 2024 akiwa katika viwanja vya Mandera CCM ,Sumbawanga, Mkoani Rukwa ametangaza na kumuagiza Waziri wa Kilimo ,Mhe.Hussein Bashe kua kuanzia sasa bei ya Mahindi kwa Kilo mkoani humo ni Shilingi 700.

Aidha, Rais amesema kuanzia Julai 18, 2024 wakala wa wakulima wadogo wa chakula (NFRA) wakifungua bei elekezi ni Shilingi 700 kama ilivyohijtaika na Wakulima Mkoani humo.

Picha: Maelfu walivyofurika kumlaki Rais Samia Rukwa
Wakazi wa Chala kuondokana na kero ya Maji