Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Jerry William Silaa kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka imeeleza kuwa Silaa anachukua nafasi ya Nape Moses Nnauye, ambaye uteuzi wake umetenguliwa.

Mbio za Urais: Biden ampa kijiti makamu wake
Teuzi mpya za Rais Samia: Nape, Makamba watumbuliwa