Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteuwa Deogratius Ndejembi kuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka imeeleza kuwa   Ndejembi ambaye alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) anachukua nafasi ya Jerry Silaa ambaye ameteuliwa kuwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari.

Balozi Mahmoud Kombo Waziri wa Mambo ya Nje
Mbio za Urais: Biden ampa kijiti makamu wake