Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa katika Uwanja wa Mashujaa uliopo Mji wa Serikali Mtumba, uliopo Mkoani Dodoma hii leo Julai 25, 2024.

 

 

Ruto: Kinachowaumiza Wakenya ni ufisadi, tunashughulikia
Serikali iongeze nguvu kudhibiti matukio ya utekaji Watoto - Wadau