Habari Picha: Rais Samia katika uzinduzi Treni ya SGR
5 months ago
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Huduma za Usafiri wa Treni ya Kisasa (SGR) kutoka Dar es Salaam – Morogoro hadi Dodoma, hii leo Agosti 1, 2024.