Habari Maisha Matukio Sauti Zetu Teknolojia Uchumi Rais Samia agawa zana za Kilimo kwa Wizara 5 months ago Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Agosti 8, 2024 amegawa Zana mbalimbali za Kilimo kwa Wizara hiyo wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya Nanenane yaliyofanyika Kitaifa Mkoani Dodoma. Picha: Matukio katika kilele cha Nanenane kitaifa Deni la Zanzibar ni himilivu - Dkt. Mwinyi