Rais Samia awasili Rwanda kwenye Sherehe za uapisho wa Kagame
5 months ago
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt,Samia Suluhu Hassan leo Agosti 11,2024 amewasili Nchini Rwanda kwaajili ya kushiriki Sherehe za uapisho wa Rais mteule wa Nchi hiyo, Paul Kagame.