Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limekiri kuona video iliyosambaa inayomuonyesha mwandishi wa habari akishambuliwa wakati wa mechi ya fainali Kati ya Yanga Vs Azam mchezo uliopigwa uwanja wa Benjamin mkapa na Yanga kuibuka mabingwa wa ngao ya jamii kwa ushindi wa mabao 4-1.

Hii hapa barua iliyotolewa na TFF kuhusu tukio Hilo

 

Kikwete: Asilimia 12 ya Vijana milioni 14.6 hawana Ajira
Manchester United yashusha mabeki wawili wapya