Habari Maisha Matukio Uteuzi: Mhagama arithi mikoba ya Ummy Wizara ya Afya 4 weeks ago Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Jenista Mhagama kuwa Waziri wa Afya. Jenista anachukua nafasi ya Ummy Mwalimu na kabla ya uteuzi huo, alikuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu). Hamza ateuliwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Prof. Kabudi ateuliwa Waziri wa Sheria, Katiba