Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Beijing Capital nchini China kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) Septemba 3, 2024.

Tetesi za usajili Duniani 03 Septemba 2024
Watakiwa kuzingatia ubora, ufanisi katika utendaji