Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping pamoja na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema wakishuhudia uwekaji saini wa hati ya makubaliano ya kuboresha reli ya TAZARA katika ukumbi wa The Great Hall of the People jijini Beijing, Septemba 4, 2024.

 

Ahmed Ally kuutangaza mfumo wa NeST
Kampeni ya Nishati Safi ya kupikia yaendelea kuungwa mkono