Klabu ya Azam FC imeendelea kujitangaza kwa kushirikiana na timu mbalimbali za ndani na nje ya bara la Afrika. Klabu hiyo imefanikiwa kutengeneza ushirikiano wa muda mrefu na klabu ya AIK Fotbol ya Sweden. Makubaliano ya ushirikiano huo yamefanyika mjini Stockholm Sweden.Taarifa rasmi ya ushirikiano huo imetangazwa na klabu zote mbili kupitia kurasa rasmi za vilabu. Azam fc watanufaika sana na ushirikiano huo.

AIK Fotboll ya Sweden na Azam FC ya jijini Dar es salaam wameingia mkataba wa ushirikiano kwa muda wa miaka mitano. Makubaliano hayo yatatoa nafasi kwa wachezaji wa Azam kupata mafunzo chini ya wataalam wal;iobobea na wale watakaofanya vizuri watajiunga na kikosi cha kwanza cha timu ya AIK Fotboll bila kusubiri mlolongo mrefu wa Azam kupata m,afunzo chini ya wataalamu waliobobea na wale watakaofanya vizuri watajiunga na kikosi cha kwanza cha timu ya AIK Fotbollbila kusubiri mlolongo mrefu”.

 

Wanaume kuanzishwa dawati la siri kuripoti vipigo vya wenza wao
Nyanda za Juu Kusini: Waganga Wakuu wateta na watumishi