Michezo Rais Karia atuma salamu kwa vigogo 4 months ago Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia amezipongeza klabu za Simba na Yanga kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) na Kombe la Shirikisho (cafcc) 2024/25. Hii hapa barua kutoka TFF Ac Milan yarejea kivingine Serie A BARCELONA:Lewandowski na Raphinha watikisa La Liga