Inaarifiwa kuwa Riwaya ya Chinua Achebe “Things Fall Apart” iliuzwa zaidi ya nakala Milioni 20 duniani kote na ilitafsiriwa katika lugha 57 duniani kote.

Mwandishi huyo aliandika pia Riwaya nyingi maarufu kama vile Arrows Of The Gods, Ant Hills of The Savannah, Kola Nut na Palm Wine ambazo ni maarufu duniani kote katika Vitabu vyake vilivyoonyesha utamaduni wake wa Igbo.

Chinua Achebe.

Chinua Achebe alikuwa ni mwandishi wa riwaya, mshairi, na mhakiki kutoka Nigeria, ambaye anachukuliwa kuwa ni bingwa wa fasihi ya kisasa ya Kiafrika.

Riwaya yake hiyo ya Things Fall Apart, inachukua nafasi muhimu katika fasihi ya Kiafrika na inasalia kuwa riwaya ya Kiafrika iliyotafsiriwa, na kusomwa zaidi Duniani kote.

Alizaliwa November 16, 1930 na alikumbwa na uamuti March 21, 2013 akiwa na umri wa miaka 82.

Maisha: Mbinu za kukupa furaha Duniani
Mbowe, Bintiye wakamatwa na Polisi