Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan hii leo Septemba 24, 2024 ameweka Jiwe la Msingi katika Mradi wa Maji Mtyangimbole Songea Mkoani Ruvuma na kutoa maagizo kwa Waziri wa Maji, Jumaa Aweso na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuhakikisha maji yanapatikana ndani ya miezi mitatu.

Aidha, Rais Samia pia alizungumza na Viongozi pamoja na Wananchi mara baada ya kuweka jiwe hilo la msingi la mradi wa maji wa Mtyangimbole, Madaba.

Polisi waanza uchunguzi kifo cha Sonii Arusha
Watano kizimbani kwa kujifanya Mawakala, kuibia watu