Picha: Matukio wakati Rais Samia alipotembelea Shamba la Kahawa
3 months ago
Picha: Matukio mbalimbali hii leo Septemba 24, 2024 wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan alipotembelea Shamba la Kahawa la Aviv Tanzania Limited lililopo Mkoani Ruvuma.