Rais Samia azindua jengo Ofisi ya Mkurugenzi Mbinga
3 months ago
Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Jengo la Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya Mbinga mkoani Ruvuma hii leo Septemba 25, 2024.