Salaam za Rais Samia kwa maelfu ya Wananchi Namtumbo
3 months ago
Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Maelfu ya Wananchi wa Kata ya Litola Wilaya ya Namtumbo waliofurika Barabarani kumlaki wakati wa Ziara yake Mkoani Ruvuma hii leo September 26, 2024.