Picha: Wananchi wa Litola wafurika kumsalimia Rais Samia
3 months ago
Picha: Wananchi wa Kata ya Litola Wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma, waliojitokeza kumsalimia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 26, 2024.