Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Katika matukio tofautitofauti alipozindua Soko la Madini ya Vito na Dhahabu la Tunduru Mkoani Ruvuma ambalo ujenzi wake umegharimu Shilingi Bilioni 1.4 ikiwa ni ubia baina ya Serikali na Sekta Binafsi hii leo Septemba 26, 2024.

Tupike kisasa kuepuka magonjwa - Dkt. Gwajima