Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na wake wa hayati Edward Moringe Sokoine na Viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla ya Uzinduzi wa Kitabu Kitabu cha Hayati Edward Moringe Sokoine, kinachohusu Maisha na Uongozi wake katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), hii leo Septemba 30, 2024.

Mto Mwekundu na alama ya fumbo kwa jamii