Kwa mara nyingine tena Bendera ya Taifa ya Tanzania imepeperushwa vyema baada ya kijana wa Kitanzania Kalolo Amiri, kuibuka mshindi kwa pointi wa dhidi ya mpinzani wake kutoka Afrika Kusini Bono Koane kwenye pambano lililopigwa usiku huu ndani ya ukundi wa City Centra Hall Magomeni Jijini Dar Es Salaam.

Amiri ameshinda kwa pointi na kuondoka na Knockout ya Mama kiasi cha milioni moja na nusu huku Mkuu wa Mkoa Albert Chalamila akimzawadia nyongeza ya shilingi milioni moja.

#KnockoutyaMAMA

Chino bingwa mpya IBA, aula Mil. 5 Knockout ya mama
Mastar Bongo Fleva, Filamu waipamba Knockout ya Mama