Rais Samia alivyowasili Mwanza katika kilele mbio za Mwenge
3 months ago
Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Uwanja wa Ndege wa Mkoani Mwanza ambapo atashiriki tukio la Kilele Cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2024 hii leo Oktoba 12, 2024.