Picha: Rais Samia akimsalimia Mama mzazi wa Janeth Magufuli
2 months ago
Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimsalimia Mama Mzazi wa Mama Janeth Magufuli Bi.Juliana Kidaso eneo la Kigongo Wilaya Misungwi Mkoani Mwanza leo Oktoba 13, 2024.