Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mjini Wakili Stephen Byabato akijiandikisha kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mtaa wa Migera Kata ya Nshambya Manispaa ya Bukoba.

#ByabatoKazini

#NimejiandikishaweweJe

#UchaguziSerikalizaMitaa

LEONBET kuwapeleka washindi Bata la Derby Ki-VIP Simba na Yanga
Kesi ya Afande: Malalamiko yana kasoro - Mahakama