Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kahama, Shinyanya – KASHWASA, imefanya kazi saa 24 kwa wataalam wake kurejesha huduma ya maji kwa wakazi wa Kishapu.

Kazi hiyo imehusu kuweka viungo muhimu vya chuma katika bomba kuu linalotegemewa katika huduma ya maji.

Kishapu inapata huduma ya uhakika ya majisafi, salama na yenye kutosheleza tangu Novemba 4, 2024 ambapo ufuatiliaji wa huduma ya maji kwa wananchi unafanyika kwa saa 24 katika bomba kuu la kusafirisha maji.

Megapari Guncel Giris Linki ile İlk Adımda Bonus Kazan
Hanang' waiomba RUWASA kukamilisha mradi kwa wakati