Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, imeridhishwa na utekelezaji wa miradi ya kurejesha miundombinu ya maji iliyoharibiwa na maporomoko ya tope, mawe na magogo kutoka Mlima Hanang’ Mkoani Manyara ambapo Serikali imetumia shilingi bilioni 9 kurejesha hali ya upatikanaji wa maji.

Hayobyamebainishwa wakati akizungumza mara baada ya kutembelea vyanzo vya Maji katika maeneo yaliyoathiriwa na Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew pamoja na wajumbe wa kamati hiyo.

Kwa upande wake Meneja wa RUWASA Mkoa wa Manyara, James Kionaomela pamoja Mkurugenzi wa BAWASA, Iddi Msuya wameelezea mafanikio ya miradi ya maji mkoani humo na namna wanavyoitekeleza kwa wakati.

Samia Cup yaanza kutimua vumbi Kagera
Malalamiko ya mfumo: PPRA toeni Elimu - Mwaifunga