Johansen Buberwa – Kagera.

Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA), imetoa mafunzo ya matumizi ya mfumo wa NeST kwa Watumishi wa kada mbalimbali katika Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi.

Mafunzo hayo, yameendeshwa na PPRA kwa kushirikiana na Kitengo cha Manunuzi Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi yakilenga kuwajengea uwezo Watumishi hao kuhusu sheria mpya ya Ununuzi wa Umma na matumizi ya Mfumo wa NeST hususani kwa vituo vya msingi vya kutolea huduma (NeST Lower Level),ikiwemo kukutana na Makundi maalumu kupitia Afisa Maendeleo ya jamii.

Mafunzo hayo pia yamehudhuriwa na Waganga Wafawidhi wa Hospitali ya Wilaya, Zahanati, Vituo vya afya, Walimu wa Shule za Sekondari na Msingi na makundi maalumu.

Habari kuu kwenye Magazeti ya leo Novemba 14, 2024
Rybelsus 7 mg: Una Nuova Speranza per il Controllo del Diabete Tipo 2