Habari Maisha Matukio Rais Samia aongea na Wananchi ajali ya Ghorofa Kariakoo 1 month ago Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezungumza na Wananchi kufuatia kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo Jijini Dar es Salaam. Maisha: Inauma sana, Dunia imempoteza Mtoto wangu Amorim ameanza kuisuka upya Man United kwa kumleta mreno mwenzake