Maagizo mapya ya Rais Samia Jengo lililoporomoka Kariakoo
1 month ago
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuongeza saa 24 za uokoaji katika lililoporomoka eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam.