Klabu ya Yanga sc imetambulisha rasmi jezi zitakazotumika michuano ya kombe la ligi ya Mabingwa Africa hatua ya makundi msimu wa 2024/25.Klabu hiyo ya Kariakoo imekuwa na utamaduni wa kuvaa jezi tofauti tofauti kulingana na michuano inayoshiriki.Yanga wataanza kampeni yake ya kutwaa ubingwa wa kombe hilo dhidi ya Al hilal ya Sudan mchezo utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam tarehe 22 novemba.

Hizi hapa jezi zitakazovaliwa na Yanga michuano ya Ligi ya Mabingwa Africa 

 

Picha: Rais Samia akagua eneo la maafa ajali ya Kariakoo
Pamba jiji yawatuma salamu,Mdau kutoa mamilioni wakiifunga Simba