Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua eneo la maafa ya ajali ya kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo, pamojq na kuzungumza na Wananchi Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam hii leo Novemba 20, 2024.

Katika hatua nyingine pia Rais Samia amewajulia hali na kuwapa pole majeruhi wa ajali ya kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo, ambao wamelazwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI).

Ufunguzi wa Kampeni: Hapi anadi sera za CCM Kagera
Yanga wafanya kufuru kuelekea mchezo na Al Hilal