Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Katika Matukio tofauti tofauti alipotunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi wakati wa Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu cha Mzumbe Kampasi Kuu Mkoani Morogoro leo Novemba 24, 2024.

 

Habari kuu kwenye Magazeti ya leo Novemba 25, 2024
Kapinga aendeleza mchakamchaka kuhamasisha ushiriki wa Uchaguzi