Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Novemba 25, 2024 ameweka Jiwe la Msingi kwenye Mradi wa Ujenzi wa Msikiti wa Ghaith Mkoani Morogoro ambao Ujenzi wake utagharimu Shilingi Bilioni 7 na utakuwa na uwezo wa kuchukuwa Waumini 3,000 kwa wakati Mmoja.

Katika hatua nyingine pi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Zawadi ya Msaafu kutoka kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Islamic Foundation wakati wa hafla hiyo ya Uwekaji Jiwe la Msingi kwenye Mradi wa Ujenzi wa Msikiti wa Ghaith Mkoani Morogoro.

Habari kuu kwenye Magazeti ya leo Novemba 26, 2024
Tukio la ujasusi Rwanda:Mauaji ya Raisi,Tanzania ilihusika- EP 3