Afara Suleiman , Babati – Manyara.

Wananchi Wilayani Babati Mkoani Manyara, wamejitokeza kwenye zoezi la kupiga kura wakitumia haki yao ya kikatiba kuchagua Viongozi wao wa Serikali za Mitaa.

Picha: Baadhi ya Wananchi hao wakishiriki zoezi la kupiga kura kituo cha Kwaraa kilichopo Sekondari Wilayani Babati Mkoani Manyara hii leo Novemba 27, 2024.

RC Mwasa ataka utulivu, uzingatiaji taratibu za Uchaguzi
Uchaguzi: Kailima apiga kura, awapa ujumbe Watanzania