Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga leo Novemba 27, 2024 ameshiriki zoezi la kupiga
kura katika Kitongoji cha Mheza kilichopo Kijiji cha Mkumbi Halmashauri ya Mbinga Vijijini, ili kuchagua viongozi wa eneo husika.

Mara baada ya zoezi hilo, Kapinga alieleza kuwa ametimiza haki yake ya kikatiba na kutoa wito kwa Watanzania wote kuitumia haki hiyo kikamilifu.

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni miongoni mwa mihimili muhimu ya Demokrasia, inayowezesha ushiriki wa Wananchi katika uongozi wa maeneo yao.

Как выдумать блатное интернет казино: игра crash на деньги Как взломать онлайновый казино
DC. Lulandala awapa neno Wananchi Uchaguzi Serikali za Mitaa