Picha: Rais Samia alivyopiga kura Uchaguzi Serikali za Mitaa
1 month ago
Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio mbalimbali alipopiga kura ya Kuchagua Viongozi wa Serikali ya Mtaa kwenye Kituo Cha Kitongoji cha Sokoine Kijiji cha Chamwino Mkoani Dodoma leo Novemba 27, 2024.