PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofautitofauti alipokutana na kuzungumza na Viongozi Kimila wa Jamii ya Masai (Malaigwanani) kutoka Tarafa ya Ngorongoro na maeneo jirani kwenye kikao kilichofanyika Ikulu ndogo ya Arusha hii leo Desemba Mosi, 2024.